Wednesday, September 5, 2012

MKUTANO WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI YA KUSINI MWA AFRIKA (SADC TROIKA)






Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikao


Maofisa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam




Kuanza kwa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA).


Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea na wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe na kulia ni Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao


Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake wakielekea kwenye  kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Rais Hifikepunye Pohamba  wa Namibia, Rais Kikwete, Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment