Wednesday, June 20, 2012

Tume ya mabadiliko ya katiba isiingiliwe


Mh. Jaji Joseph Warioba
Tume ya mabadiliko ya katiba itapokea maoni yote bila kubagua kutoka kwa wananchi. Tume hiyo itakuwa na makundi ya watu saba ambayo yataenda katika mikoa tofauti tofauti. Pia, Jaji Warioba amesisitiza kuwa tume hiyo haitakiwe kuingiliwa na mtu wala taasisi yoyote ile.

No comments:

Post a Comment