Wednesday, June 20, 2012

Maonesho ya wakulima wa mpunga



Amos Nicolao, Afisa Umwagiliaji

Mpunga

Wadau mbalimbali wa kilimo wametakiwa kuwekeza katika sekta ya kilimo cha umwagiliaji ili kumuwezesha mkulima kuondokana na kilimo cha msimu na kuingia kwenye kilimo cha umwagiliaji ambacho ni cha kisasa na uhakika wa kupata mazao mwaka mzima.
Ni asilimia 29 tu ya mpunga unaolimwa humwagiliwa ambapo maeneo yaliyoendelezwa kwa miundombinu ya umwagiliaji uzalishaji wake umeongezeka kulinganisha na maeneo yasiomwagiliwa.


No comments:

Post a Comment