Thursday, June 21, 2012

Vodacom yadhamini Sabasaba na zaidi ya Sh. Milioni 50



Mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania TANTRADE imeingia ubia na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom katika kuhakikisha jamii inapata taarifa za maonyesho ya biashara ya kimataifa ya sabasaba yanayotarajiwa kuanza taerehe 28 katika viwanja vya mwalimu nyerere jijini Dar es salaam.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Vodacom, Joselyne Jonathan Kamuhanda amesema zaidi ya shilingi milioni hamsini zitatumika kudhamini mawasiliano katika maonyesho hayo kupitia vipindi katika vyombo vya habari na matangazo.

No comments:

Post a Comment