Thursday, June 21, 2012

CWT yatangaza mgogoro na serikali

 
Zubeda Aziz – Mwenyekiti CWT Mkoa wa DSM

DSM  Abdallah Mkaula - Katibu wa CWT
 
Chama cha walimu mkoa wa Dar es salaam kimeunga mkono mgomo uliotangazwa hivi karibuni kati ya Chama cha Walimu Taifa (CWT) na Serikali.
Mgomo huo ambao ni wa kimaslahi na tayari Chama hicho kimeipa Serikali notisi ya siku 30 kuanzia tarehe 8 june 2012.
 

No comments:

Post a Comment