Thursday, June 21, 2012

Mbowe amtaka spika kuwa makini


Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Mh. Freeman Mbowe amemtaka spika wa bunge Mh. Anne Makinda kuwa makini nakutumia meza yake kutoa haki kwa pande zote mbili. Pia amesisitiza kuwa wabunge wanatakiwa kuwa wastaarabu na kuheshimiana.
Amesema hayo kufuatia kitendo cha Mh. Mwigulu kuchana bajeti ya kambi ya upinzani bungeni juzi.

No comments:

Post a Comment