Wednesday, June 20, 2012

UMISETAWaziri  wa Habari utamaduni vijana na  Michezo Fenela Mkangala amewataka walimu wa shule za msingi na sekondari kuwaandaa vijana kikamilifu katika michezo mbalimbali ili Tanzania iwe na timu imara za taifa.


Waziri huyo amefungua leo mashindano ya 34 ya Umiseta yanayofanyika kitaifa Kibaha mkoani Pwani katika uwanja shirika la elimu Kibaha

No comments:

Post a Comment