Wednesday, June 20, 2012

Maandalizi ya Sabasaba




Zaidi ya nchi 11 zinatarajiwa kushiriki yakiwemo Makampuni zaidi ya 2000 ambapo ya ndani ni 1500, 435 ya kigeni na taasisi za serikali 64.

Katika maandalizi hayo TANTRADE imeendesha semina kwa washiriki kuhusu sheria na kanuni za ushiriki wa maonyesho na kutoa mbinu mbalimbali za kibiashara katika kuwakaribisha na kuwahudumia wateja.

No comments:

Post a Comment