Wakimibizi waliopo katika makazi ya Katavi wameshindwa kupewa uraia kutokana na
kushindwa kushauriana vizuri katika suala zima la utoaji wa usajili ambao
ungewapatia uraia wakimbizi hao waliofika nchini katika kipindi cha miaka 40 iliyopita wakitokea Burundi.
Hayo yamesemwa katika
maadhimisho ya siku ya wakimbizi duniani yaliyoaaandaliwa na shirika la
kimataifa la kuhudumia wakimbizi Duniani UNHCR.
No comments:
Post a Comment