Wednesday, September 12, 2012

MAANDAMANO YA AMANI YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM.

Baadhi ya waandishi wa habari pamoja na wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari cha Dar es Salaam DSJ wakiwa wanamsikiliza katibu wa Jukwaa la wahariri Neville Meena wakati akitoa Tamko juu ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten Daudi Mwangosi.

Katibu wa Jukwaa la wahariri Neville Meena akielekeza jambo.


Waandishi wa habari wakiwajibika katika maandamano hayo ambayo yalianzia Channel Ten na kumalizikia katika viwanja vya Jangwani.



No comments:

Post a Comment