Kocha Juma Pondamali akimuelekeza jambo kipa Ally Mustafa 'Batezi'
.
Juma Pondamali 'Mensa' amesaini mkataba wa msimu mmoja wa ligi kuu soka Tanzania bara wa kufundisha makipa wa timu ya soka ya Coastal Union, mkataba ambao haumfungi kuendelea na kazi yake ya kuwafundisha makipa wa timu ya Taifa Taifa Stars
No comments:
Post a Comment