Saturday, June 16, 2012

Bantu Film Awards kuanza July

Irene Uwoya

JB, Richie na Ray
Tuzo za filamu BANTU FILM AWARDS zatarajiwa kuanza July mwaka huu. Tuzo hizo zitawahusu waigizaji, waandishi, wapiga picha na waandaaji wa filamu hizo hapa nchini. Aidha ni matumaini ya wasanii hao kuwa tuzo hizo zitaboresha kazi zao kwa kuwa zitaamsha hisia za ushindani miongoni mwa kazi hizo.

No comments:

Post a Comment