Baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Gambia, Stars wakabidhiwa bendera kuelekea Msumbiji kwa ajili ya mechi ya marudiano na Msumbiji ili kufuzu michuano ya AfCon mwakani. Tanzania ilitoka sare ya 1-1 katika mechi ya kwanza na Msumbiji iliyochezwa february mwaka huu. Pichani ni nahodha Juma Kaseja (kushoto), Kim Poulsen (mwenye kofia) na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Saddiq (mwenye tai)
No comments:
Post a Comment