Saturday, June 16, 2012

Huduma za umeme zaboreshwa Dar es Salaam

Badra Masoud, Afisa Habari TANESCO
Ofisi za Makao Makuu ya TANESCO Ubungo Dar es Salaam
Huduma za umeme zimeboreshwa kulinganisha na kipindi cha mapema mwaka huu. Hayo yamethibitishwa na Dorica Andrew mtafiti wa maswala ya kijamii kutoka SIKILIZA Dar es Salaam katika ripoti yake ya tafiti iliyohushu huduma za umeme kwa hapa Dar es Salaam. Bi. Badra Masoud pia amesema matatizo yaliyokuwepo ni madogo ambayo yanatatulika katika vituo kwenye maeneo husika.

No comments:

Post a Comment