Saturday, June 16, 2012

Wanaume milion 2.8 kufanyiwa tohara ifikapo mwaka 2015


Pape Gaye, Rais wa Intra Health

Shinyanga imedaiwa kuwa na kasi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 7.4 hali inayosababishwa  na kuwepo kwa utamaduni wa kutofanya tohara kwa wanaume ambapo kiwango cha ufanyaji wa tohara ni asilimia 26.5 pekee.

No comments:

Post a Comment