Washiriki wa Mkutano wa GNRC |
Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa GNRC, Dar es Salaam |
Rais kikwete amesema kuwa watoto 22000 wanakufa kila siku kutokana na
ukosefu wa chakula unaosababishwa na umaskini na wengine millioni 300 wanalala
kila siku bila ya kupata chakula kutokana na takwimu za Umoja wa Mataifa na swala hilo linahitaji kufanyiwa kazi.
Pia, Rais Kikwete amewataka viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele kuwaelimisha wazazi na walezi juu ya kuelekeza jamii kuhusu kuondokana na umaskini unohathiri hasa watoto.
No comments:
Post a Comment