Mwalimu Omary akimfundisha mtoto mdogo |
Mwalimu Omary ameomba watoto wanaojifunza michezo waruhusiwe kuingia bure au wapunguziwe ada ya kuingilia viwanja vya Gymkana kwa kuwa ni watoto na hivyo ni viwanja vyao kwa ajili yao. Watoto hao hutozwa ada ya Shilingi 20000 ambayo ni kubwa sana kwa mtoto.
Omary amewataka pia wazazi kuelewa kuwa mchezo wa tennis sio mchezo wamatajiri tu hata watoto wa kawaida wanaweza kujifunza.
No comments:
Post a Comment