Sunday, June 17, 2012

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto duniani

Blandina Sembo, Mratibu wa watoto na watu wenye ulemavu


Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni 4 wenye ulemavu ambao wanaishi katika mazingira magumu kutokana na ukosefu wa huduma kutoka kwa ndugu na jamii na pia dhana potofu ya kwamba ulemavu unatokana na laana katika baadhi ya jamii.

No comments:

Post a Comment