|
Eneo la bahari linalojengwa |
Ujenzi unaoendelea katika eneo la bahari maeneo ya Kawe unatakiwa kusimamishwa kutokana na uvunjaji wa sheria namba 8 ya mwaka 2007 ya mipango miji inayotaka na ile ya mazingira inayoutaka ujenzi usiwe ndani ya mita 60 kutoka baharini alifafanua bi. Albina Benedict, Mkurugenzi wa Mipango Miji na Vijiji. Ujenzi huo umeziba mkondo unaopeleka maji baharini hivyo kusababisha mafuriko kipindi cha mvua.
No comments:
Post a Comment