Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi na waumini wengine wa Mkoa wa Lindi aliowakaribisha katika futari Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi leo Julai 30, 2012 |
Mkuu wa Mkoa a Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akishiriki katika futari hiyo pamoja na waalikwa wengine
|
Waalikwa wakipakua futari |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru waalikwa kwa kuhudhuria katika hafla ya futari aliyoandaa |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa Lindi (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji ya mkoa waliokuwa miongoni mwa wageni waalikwa |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wageni wake baada ya futari |
PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment