Wednesday, August 1, 2012

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEMEJI YAKE

Rais Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi, katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi Julai 30, 2012

Rais Kikwete akishiriki katika swala ya kumuombea marehemu mjini Lindi Julai 30, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Julai 30, 2012 alihudhuria mazishi ya shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi (45), aliyefariki Jumamosi iliyopita jijini Dar es salaam, na kuzikwa katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi.
 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment