Edith Mushi, Meneja Uhusiano na Habari TBL |
Pamela Kikuli, Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt |
Kampuni ya bia Tanzania
imebadilisha muonekano wa bia yake aina ya Ndovu ikiwa ni mpango mkakati wa
kampuni hiyo kuboresha bia yake.
Akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es salaam katika warsha ya uzinduzi huo meneja wa bia ya
ndovu Pamela Kikuli amesema mabadiriko hayo ni katika muonekano huku kukiwa
hakuna mabadiriko yoyote katika ladha ya bia hiyo.
Bi Kikuli amesema lengo la
kufanya mabadiriko hayo ni kuitambulisha bia hiyo katika muonekano tofauti ili
kuiboresha zaidi na kufikia viwango vya kimataifa.
No comments:
Post a Comment