Bw Muhingo Rweyemamu – Mkuu wa Wilaya Handeni |
Halmashauri ya wilaya ya
Handeni mkoani Tanga imenunua trekta 6 kwa ajili ya kukuza kilimo wilayani humo
na kuongeza kasi ya utekelezaji wa mpango wa kilimo kwanza wilayani humo.
Naye mkuu wa wilaya ya
Handeni Bw. Muhigo Rweyemamu amesema pamoja na kununua Trekta hizo Halmashauri
pia iko tayari kutoa dhamana kwa wakulima walio tayari kukopeshwa zana za
kisasa za kilimo.
Akiakabidhi matrekta hayo afisa
masoko wa SUMA JKT Frida Mramba amesema
masharti walioyawekwa kwa mkopo wa wakulima ni nafuu.
No comments:
Post a Comment