Wednesday, July 4, 2012

MATENGENEZO YA MOROGORO ROAD





Shughuli za matengenezo na upanuzi wa barabara ya Morogoro zinaendelea. Barabara hiyo iko katika upanuzi na ujenzi kuruhusu miundombinu kwa ajili ya mabasi yaendayo kwa kasi.

No comments:

Post a Comment