Sunday, July 1, 2012

Hatimaye Dr. Ulimboka aongea





Jana jioni Dr. Ulimboka aliweza kuongea kama inavyosikika kwenye video hapo juu. Ni wakati alipopelekwa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi kwa matibabu zaidi baada ya jitihada za kumponya kushindikana katika hospitali ya Muhimbili.

No comments:

Post a Comment