Saturday, July 7, 2012

WANACHAMA CCM SINZA C WATAKA UHURU WA KUMCHAGUA MWENYEKITI WAO

Baadhi ya Wanachama wa CCM

Ofisi ya CCM Kata ya Sinza C

Yusuph Selungwi, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sinza C


Wanachama wa chama cha Mapindizi ccm katika kata ya Sinza C wameutaka uongozi wa chama hicho Wilayani KINONDONI kuwapa uhuru wa kumchagua Mwenyekiti wanayemtaka bila shinikizo

Wanachama hao wamefikia uwamuzi huo kufuatia uwongozi wa chama hicho kuwataka warudie uchaguzi wa kutafuta mwenyekiti wa kata hiyo. Wanachama hao wamesema suala la kumchagua mwenyeki wao limeshafanyika na kwamba hawataki mtu mwingine kuwaingilia
   
Nae mwenyekiti aliechaguliwa na wanachama hao katika kata hiyo bw Yusuph Selungwi ameonesha kushangazwa na hatua ya uongozi wa wilaya kutaka kurudia uchaguzi huo

No comments:

Post a Comment