Monday, July 9, 2012

CHADEMA WASHTUKIA MPANGO WA KUWAMALIZA MNYIKA NA LEMA


Jana viongozi wa CHADEMA katika mkutano na waandishi wa habari wamesema kuwa kunawatu wa usalama wa taifa wanawafuatilia na kutaka kuwadhuru kwa mujibu wa vianzo vyao vya habari.


No comments:

Post a Comment