Saturday, June 23, 2012

Waziri Simbachawene afumaniwa Singida

Mh. Simbachawene

Kwa mujibu wa mtandao wa kijamii wa Jamii Forum, naibu waziri wa nishati Simbachawene amefumaniwa akiwa na mke wa mtu (mke wa askari mmoja) pale Singida katika Hotel ya Aqua.

Muda huu bado yuko Kituo cha Polisi Mkoa wa Singida akitoa maelezo. Amefumaniwa tangu saa 10 alfajiri. Baada ya kupata tip hiyo, maaskari walikwenda wakazingira hotel hiyo, wakati Simbachawene akitoka yule askari mwenye mke kumbe alikuwa ameficha sime/panga akamkata Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) na Mbunge wa Kibakwe.

Habari zinasema alikuwa yuko njiani kwenda msibani ukweni kwake, Karatu. Hata wakati wa kupiga kura jana jioni hakuwepo bungeni, mintaarafu kuwa anawahi msibani.

No comments:

Post a Comment