Friday, June 22, 2012

Bajeti ya serikali yapita kwa kura 225

Spika Anne Makinda akifunga bunge baada ya kutangazwa kwa matokeo

Wabunge wakisalimiana baada ya kikao

Wabunge wakisalimiana baada ya kikao

Bajeti ya serikali iliyokuwa ikijadiliwa bungeni wikii hii imepitishwa kwa kura 225 baada ya wabunge 297 kupiga kura. Wabunge 54 hawakuweza kupiga kura kwasababu walishindwa kuhudhuria kikao hicho.

No comments:

Post a Comment