Monday, June 18, 2012

Stars watolewa AfCon kwa penalty

Kikosi cha Taifa Stars
Taifa Stars wameondolewa kwenye mashindano ya kufudhu kugombea kombe la mataifa ya Afrika mwakani katika mechi yao dhidi ya Msumbiji. Stars wamefungwa kwa penati 8-7 na hivyo kuunga na dada zao Twiga Stars katika majonzi.

No comments:

Post a Comment