Monday, June 18, 2012

Waziri Mulugo afunga maonesho ya Elimu

Philipo Mulugo, Naibu Waziri Elimu na Ufundi


Baadhi ya mabanda ya maonesho
Geophrey Tenganamba, Mshiriki wa Maonesho Kutoka Perfect Path Innovators
Naibu Waziri wa Elimu Philipo Mulugo amesema kuwa serikali imeanza mpango wake wa kufuta shule na vyuo ambavyo vimekua vikifanya udanganyifu wa usajili na mitihani na kuahidi kuzisaidia taasisi  za elimu zisizokuwa za kiserikali katika jitihada za kuboresha elimu katika ngazi mbalimbali alipokuwa akifunga maonesho ya elimu ya siku mbili yaliyoandaliwa na kampuni ya Fayek katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki walikuwa ni shule za sekondari za Marumbo, Kenton, St. Mary's, St. Emmanuel, Baobab Girls, Chuo cha KAM, Techno Brain, Perfect Path Innovators, Tanzania Schools Directory, Oxford, Radar Education na Turn around Music Academy.

No comments:

Post a Comment