Thursday, June 28, 2012

Mgomo wa madaktari unaendelea



Hali ya upatikanaji wa huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili bado ni tete baada ya madaktari wanaotoa huduma hospitalini hapo kuendelea na mgomo huku wagonjwa nao wakizidi kupungua.
Hali hiyo imezidi kuwa mbaya baada ya madaktari kukaidi amri ya mahakama kuu kitengo cha kazi ya kuwataka warejee kazini kufuatia kutekwa na kujeruhiwa kwa kiongozi wao Dr Steven Ulimboka nayo ikitajwa kuwa ni sababu ya kuendelea kwa mgomo huo.

1 comment:

  1. jameni huu mgomo nasisi tusio na kazi tumgomee nani? ama nasi tugome maana sisi ndio wengi kuliko wafanyakazi wangine acheni migomo ni mambo ya kipuuzi...kama serikali ya sasa haisikii iacheni muipige chini 2015

    ReplyDelete