Saturday, June 23, 2012

Mgomo wa madaktari uko pale pale - Ulimboka

Wahudumu wa kitengo cha Dharura Muhimbili wakipokea wagonjwa wa dharura

Dk. Ulimboka

Wahudumu wa kitengo cha Dharura Muhimbili wakipokea wagonjwa wa dharura

Dk. Steven Ulimboka ambaye ni kiongozi wa jumwia ya madaktari nchini amesema mgomo uliopangwa kuanza June 23 uko pale pale na amewaomba watanzania waelewe kwamba wanachokipigania ni cha msingi. Pia amelaani kitendo cha serikali kuupotosha umma kwenye majukwaa ya siasa kuwa wametimiza madai yao yote wakati bado hawajatimiza yote na kufikia makubaliano.

Hata hivyo huduma zinaendelea kutolewa hospital ya Muhimbili katika kitengo cha dharura na wasisi mkubwa umebaki kwa wagonjwa wa kawaida na wananchi wengine.

No comments:

Post a Comment