Sunday, July 1, 2012

Discover Tanzania VIP CEOs Tour



Picha ya pamoja ya Rais Kikwete na watendaji hao

Picha ya pamoja ya Rais Kikwete na wanafunzi wa SUZA. Kulia kwake ni balozi wa marekani nchini Alfonso Lenherdt, Katikbu mkuu wa wizara ya mambo ya nje John Haule na Mwanaidi Sinare Maajar balozi wa Tanzania nchini Marekani

Watendaji wakuu wa makampuni ya marekani wamemtembelea Rais Kikwete Ikulu jana katika ziara maalum ya Discover Tanzania VIP CEOs Tour iliyoandaliwa na ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Rais Kikwete amefurahishwa na ziara hiyo ambayo inafanyika kwa mara ya pili na wageni hao kuchagua kutembelea mbuga za Selous na Ruaha ambazo zinavivutio vya kipekee kama vile makundi ya mbwa mwitu ambao wamepotea muda mrefu mbuga za kaskazini.

Watendaji hao waliongozana pia na baadhi ya wanafunzi wanaosuma lugha ya kiswahili katika chuo cha SUZA Zanzibar. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment