Tuesday, June 19, 2012

Stars kuwasili leo jioni

Kikosi cha Taifa Stars kilichokuwa Msumbiji
Kikosi cha Taifa Stars kinategemewa kuwasili leo jioni majira ya saa moja na nusu uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kutoka Msumbiji. Stars walicheza na Mambas wa Msumbiji jumapili na kufungwa 8-7.

No comments:

Post a Comment