Tuesday, June 19, 2012

Mwili wa marehemu Ogunde kuagwa kesho Mnazi Mmoja

Mwili wa aliyekuwa mhariri mkuu wa gazeti la Jambo Leo, marehemu Willy Ogunde utaagwa kesho kuanzia saa nne asubuhi mnazi mmoja kabla ya kusafirishwa kwenda Mgumu.

No comments:

Post a Comment