Tuesday, June 19, 2012

Majaji 10 waapishwa

Mh. Patricia Fikirini akiapishwa Ikulu Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete amewaapisha majaji 10 wa mahaka kuu Ikulu Dar es Salaam. Majaji hao ni Mhe. Francis Sales Katabazi, Mhe. Patricia Salehe Fikirini, Mhe. Joaquine Antoinette De-Mello, Mhe. Latifah Mansoor, John Samwel Mgeta, Mhe. Sam Mpaya Rumanyika, Mhe. Salvatory Benedict Bongole, Mhe. Dr. Gerald Alex Mbonimpiga, Mhe. Matthew P. Mhina Mwaimu na Mhe. Jacob C. Mwambengele. Pichani kwenye foreground ni Jaji Mkuu Mhe. Othman Chande.

No comments:

Post a Comment