Saturday, August 4, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA NA KUHUDHURIA KUHUSU MFUMO WA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIPANGO YA MAENDELEO

Rais Kikwete akifungua warsha huo kwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakuu wa taasisi za serikali

Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakimsikiliza rais Kikwete wakati wa ufunguzi

Picha ya pamoja ya rais Kikwete na viongozi wa juu wa serikali pamoja na wawezeshaji wa warsha hiyo kutoka Malaysia

Waziri katika ofisi ya rais wa Malaysia Mh. Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika warsha hiyo
Rais Kikwete amefungua warsha hiyo kuhusu mfumo wa usimamizi na utekelezaji wa mipango ya maendeleo mjini Dodoma katika ukumbi wa St. Gasper. Warsha hiyo iliyohudhuriwa na mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali.
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment