Sunday, June 17, 2012

Rais Kikwete afungua mkutano wa GNRC

Washiriki wa Mkutano wa GNRC

Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa GNRC, Dar es Salaam


Rais kikwete amesema kuwa watoto 22000 wanakufa kila siku kutokana na ukosefu wa chakula unaosababishwa na umaskini na wengine millioni 300 wanalala kila siku bila ya kupata chakula kutokana na takwimu za Umoja wa Mataifa na swala hilo linahitaji kufanyiwa kazi.
Pia, Rais Kikwete amewataka viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele kuwaelimisha wazazi na walezi juu ya kuelekeza jamii kuhusu kuondokana na umaskini unohathiri hasa watoto.

No comments:

Post a Comment